Discover. Experience. Enjoy

Jinsi Ya Kuchanganya Chakula Cha Kuku Wa Mayai Layers Meal Preparation

jinsi Ya Kuchanganya Chakula Cha Kuku Wa Mayai Layers Meal Preparation
jinsi Ya Kuchanganya Chakula Cha Kuku Wa Mayai Layers Meal Preparation

Jinsi Ya Kuchanganya Chakula Cha Kuku Wa Mayai Layers Meal Preparation #chakulachakuku #magonjwayakuku #tibaasili ️jifunze zaidi jinsi ya kuandaa vyakula vya kuku aina mbalimbali za kuku kama vile chotara, kienyeji broilers na k. Kuku kama wanyama wengine wanahitaji vyakula vyenye virutubisho vyote muhimu ili kuweza kufanya uzalishaji bora. video hii imeandaliwa kwa lengo la kuweza ku.

jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku Youtube
jinsi ya kuchanganya chakula cha kuku Youtube

Jinsi Ya Kuchanganya Chakula Cha Kuku Youtube Tengeneza kilo 100 kwa kanuni hizi. chick mash. chakula cha kuku kuanzia siku 1 hadi wiki 8 changanya: pumba laini za mahindi kilo 40. mashudu ya alizeti kilo20. pumba za mtama kilo 27. chokaa ya mifugo unga wa mifupa kilo 2 na robo. dagaa kilo 10. chumvi nusu kilo. Jinsi ya kupata vyakula vya aina mbali mbali; kiasi cha viinilishe vinavyohitajika kwa kuzingatia umri na aina tofauti ya kuku; kwa mfano vifaranga wanahitaji protini asilimia 18 hadi 22, kuku wanaokua asilimia 17 hadi 19 na kuku wa mayai asimilia 15 hadi 17. 6 kg chokaa (kwa ajili ya calcium) jinsi ya kutengeneza chakula (70kg) kwa ajili ya kuku wa nyama. mahindi= 40 kg. dagaa = 12 kg. maharage ya soya = 14 kg. chokaa = 4 kg. nb: hakikisha unaongeza chumvi 250g katika kila mfuko wa 70kg wa chakula chako. ndondoo muhimu ya jinsi ya kuwalisha kuku wako nyumbani. Jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa mayai ili mkulima aweze kupata faida katika masuala yanayo husu ufugaji wa kuku viini vizuri kufuata taratibu zote zinazohusu ufugaji bora.ufugaji bora unategemea mambo mbalimbali kama vile.

Comments are closed.